Posts

𝗦𝗘𝗛𝗘𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗨 𝗠𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 (𝗧𝗪𝗢 𝗠𝗔𝗜𝗡 𝗣𝗔𝗥𝗧𝗦 𝗢𝗙 𝗠𝗔𝗟𝗘 𝗥𝗘𝗣𝗥𝗢𝗗𝗨𝗖𝗧𝗜𝗩𝗘 𝗦𝗬𝗦𝗧𝗘𝗠)

Image
𝗦𝗪𝗔𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗘𝗛𝗘𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗨 𝗠𝗕𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗢 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗔𝗨𝗠𝗘 Mfumo wa uzazi wa kiume unajumuisha sehemu zote za nje na za ndani.  𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗡𝗷𝗲:  1. 𝗨𝗨𝗠𝗘:  Kiungo kinachotumika kufanya tendo la ndoa na kukojoa.  2. 𝗦𝗰𝗿𝗼𝘁𝘂𝗺:  Mfuko wa ngozi ambao una na kulinda korodani, kudhibiti joto lao kwa ajili ya uzalishaji wa mbegu za kiume.  3. 𝗞𝗼𝗿𝗼𝗱𝗮𝗻𝗶:  Viungo vinavyotoa mbegu za kiume na testosterone, vilivyo ndani ya korodani.  𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗡𝗱𝗮𝗻𝗶:  1. 𝗘𝗽𝗶𝗱𝗶𝗱𝘆𝗺𝗶𝘀:  Mrija uliojikunja ambapo manii hukomaa na kuhifadhiwa.  2. 𝗩𝗮𝘀 𝗱𝗲𝗳𝗲𝗿𝗲𝗻𝘀:  Mfereji unaosafirisha mbegu za kiume kutoka kwenye epididymis hadi kwenye mfereji wa kutolea manii.  3. 𝗠𝗶𝘀𝗵𝗶𝗽𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗻𝗶𝗶:  Tezi zinazotoa umajimaji unaorutubisha mbegu za kiume na kutengeneza sehemu kubwa ya shahawa.  4. 𝗣𝗿𝗼𝘀𝘁𝗮𝘁𝗲...

TIBA YA MAUMIVU YA MAUNGIO

Image
𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗡𝗚𝗜𝗢 ni viashilia vya mwili kuongea kuwa maungio hayapo Sawa, 𝗝𝗘! Umesumbuka muda mrefu kutibu maumivu bila 𝙎𝙐𝙇𝙐𝙃𝙄𝙎𝙃𝙊 la kudumu? SHIDA KUBWA NI KUTOKIMALIZA CHANZO CHA MAUMIVU, ILI KUYAMALIZA MAUMIVU MPAKA CHANZO KIISHE. 𝗬𝗔𝗝𝗨𝗘 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗩𝗬𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗩𝗬𝗔𝗞𝗘 na 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗚𝗢𝗧𝗜 Ni viashilia kuwa huwenda moja au yote kati ya hivi vimetokea katika maungio ya goti 1..cartilage/mifupa laini izuiayo mifupa kusagana 𝙆𝙐𝙋𝙊𝙏𝙀𝗭𝗔 ubora na kuanza kusagika 2..kuisha kwa synovial fluid/𝙐𝙏𝙀𝙐𝙏𝙀 ulainishao maungio yasisagane 3..𝙆𝙐𝙃𝘼𝙈𝘼 kwa mfupa katika eneo lake 4.𝙈𝘼𝙅𝙀𝙍𝘼𝙃𝘼 ya ligament/kamba zifungazo maungio au tendon zifungazo mifuli. 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗚𝗢𝗡𝗚𝗢 Niviashilia kuwa huwenda moja au baadhi ya VIFUATAVYO kujitokeza katika maungio ya mgongo 1.Disk za Mgongo ambazo huzuia pingili za Mgongo kugusana 𝙆𝙐𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝘼 ubora wake na kupelekea kuvimba, kupasuka au ku...

𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗙𝗨𝗣𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗡𝗚𝗜𝗢.

Image
𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗡𝗚𝗜𝗢 ni vya mwili kuongea kuwa maungio hayapo Sawa, 𝗝𝗘! Umesumbuka muda mrefu kutibu maumivu bila 𝙎𝙐𝙇𝙐𝙃𝙄𝙎𝙃𝙊 la kudumu? SHIDA KUBWA NI KUTOKIMALIZA CHANZO CHA MAUMIVU, ILI KUYAMALIZA MAUMIVU MPAKA CHANZO KIISHE. 𝗬𝗔𝗝𝗨𝗘 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗩𝗬𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗩𝗬𝗔𝗞𝗘 na 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗚𝗢𝗧𝗜 Ni viashilia kuwa huwenda moja au yote kati ya hivi vimetokea katika maungio ya goti 1..cartilage/mifupa laini izuiayo mifupa kusagana 𝙆𝙐𝙋𝙊𝙏𝙀𝗭𝗔 ubora na kuanza kusagika 2..kuisha kwa synovial fluid/𝙐𝙏𝙀𝙐𝙏𝙀 ulainishao maungio yasisagane 3..𝙆𝙐𝙃𝘼𝙈𝘼 kwa mfupa katika eneo lake 4.𝙈𝘼𝙅𝙀𝙍𝘼𝙃𝘼 ya ligament/kamba zifungazo maungio au tendon zifungazo mifuli. 𝗠𝗔𝗨𝗠𝗜𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗚𝗢𝗡𝗚𝗢 Niviashilia kuwa huwenda moja au baadhi ya VIFUATAVYO kujitokeza katika maungio ya mgongo 1.Disk za Mgongo ambazo huzuia pingili za Mgongo kugusana 𝙆𝙐𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝘼 ubora wake na kupelekea kuvimba, kupasuka au kukakama...

KUJAA MAJI KWENYEGOTI/KNEEL EFFUSION.

Image
Maji Kwenye Goti Ni Tatizo Gani? Maji kwenye goti (knee effusion au water on the knee) ni hali ya kupata maumivu makali kutokana na maji kujaa kuzunguka au ndani ya maungio ya mifupa ya kwenye goti (knee joint). Hali hii ikitokea, kujua chanzo na dalili zake na njia bora ya kuyaondoa maji hayo kwenye goti ni kitu muhimu. Njia utakayoitumia kuuondoa uvimbe huu itategemea chanzo cha uvimbe na daktari anaweza kuhitajika kufanya uchunguzi. Kiasi kidogo cha maji huwepo kwenye joint ya kawaida. Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 27 ya watu hupata tatizo la maji kwenye magoti kwa muda fulani. Umbile  La Goti   Goti ni jointi iliyo kubwa na yenye sehemu nyingi kuliko jointi zote katika mwili. Jointi ya goti huunganisha mfupa wa paja (femur) na mfupa wa chini ya goti (tibia). Mfupa mdogo unaokwenda sambamba na mfupa wa chini ya goti (fibula) na kifuu cha goti (patella) ni mifupa mingine inayojenga jointi ya goti. Tendoni huiunganisha mifupa ya goti na misuli ya m...

VYAKULA VYA KUEPUKA UKIWA NA GOUT

Image
Chakula Cha Kukwepa Ukiwa Na Gout   Gout ni ugonjwa unaosababisha maumivu makali ya maungio ya mifuapa (joints). Gout huleta hushambulia joint moja au zaidi, lakini mara nyigni hutokea miguuni. Mashambulizi hutokea wakati uric acid inapoganda na kujijenga kwenye joints. Uric acid, ambayo ni antioxidant inayolinda utando wa ndani wa mishipa ya damu, huzalishwa mwilini wakati chakula cha kundi la purines kikivunjwavunjwa. Kupata au kutopata gout kunategemea zaidi urithi.  Mabadiliko katika namna ya kuishi yanaweza kuzuia maumivu. Kuwa mwangalifu na vitu unavyokula na kuacha kula chakula chenye purines kwa wingi kunaweza kukuondolea dalili za gout.   Nyama Zinazoleta Gout Nyama za viungo zinatakiwa kuachwa kabisa kama una  ugonjwa wa gout  kwa sababu zina viwango vikubwa vya purines. Nyama hizo za viungo ni kama: maini, kongosho za ndama au kondoo, figo, ubongo, na utumbo unaoliwa. Nyama nyingine zote zinatakiwa kuliwa kwa kiasi, kiasi kisichozidi wakia...

UGONJWA WA GOUT/GAUT DISEASE

Image
Nini Chanzo Na Tiba Yake? Gout ni ugonjwa ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee” na aliuhusisha ugonjwa huu na namna ya mtu anavyoishi. Hadi hivi leo ugonjwa huu ni tatizo la jamii nyingi, ambao huwapa maumivu makali sana wale ambao wameathirika. Kwa bahati nzuri ugonjwa huu hutibika na kuna hatua za kuchukua zinazoeleweka ili usipatwe na ugonjwa huu. Katika ukurasa huu tutatazama ugonjwa wa gout ni nini , chanzo cha ugonjwa wa gout, dalili zake na namna ya kuutibu pale unapokuwa umeathirika.  Gout Ni Nini? Gout ni namna moja ya Arthritis, ugonjwa ambao hushambulia joints (sehemu za maungio ya mifupa). Huu ndiyo ugonjwa wa joints ambao huwashambulia sana na kuwapa maumivu makali wanaume. Wanawake pia huweza kuathirika na ugonjwa huu hasa baada ya kukoma hedhi. Ugonjwa huu hule...

WHAT HAPPENS WHEN YOU DRINK TOO MUCH WATER?

Image
​​What Happens When You Drink Too Much Water? When you drink too much water, you may experience water poisoning, intoxication, or a disruption of brain function. This happens when there's too much water in the cells (including brain cells), causing them to swell. When the cells in the brain swell they cause pressure in the brain. You may start experiencing things like confusion, drowsiness, and headaches. If this pressure increases it could cause conditions like hypertension (High Blood Pressure) and bradycardia (Low Heart Rate).  Sodium is the electrolyte most affected by overhydration, leading to a condition called hyponatremia. Sodium is a crucial element that helps keep the balance of fluids in and out of cells. When its levels drop due to a high amount of water in the body, fluids get inside the cells. Then the cells swell, putting you at risk of having seizures, going into a coma, or even dying. @𝐃𝐫_𝐄𝐯𝐢𝐭𝐮𝐬