JINSI VIAGRA INAVYO FANYA KAZI (HOW VIAGRA BOOST BLOOD FLOW)
JINSI VIAGRA INAVYO FANYA KAZI 💊 Jina la kitaalamu: Sildenafil citrate Viagra ni jina la biashara la dawa hii. ⚙️ Jinsi inavyofanya kazi: 1.Haina kuchochea hamu ya kufanya mapenzi moja kwa moja. Badala yake, inasaidia uume kusimama vizuri pale tu mwanaume anapopata msisimko wa kimapenzi. 2.Inazuia kimeng’enya kinachoitwa PDE-5 (phosphodiesterase type 5). Kimeng’enya hiki kwa kawaida hupunguza kemikali inayosababisha mishipa ya damu kulegea. 3.Matokeo yake: 🔹Mishipa ya damu katika uume hulegea (relaxes). 🔹Damu inaongezeka kuingia kwenye uume. 🔹Hivyo, mwanaume hupata erection (kusimama kwa uume) yenye nguvu na inayoendelea kwa muda mrefu zaidi. ⏱️ Muda wa kuanza kufanya kazi: Huanzia kufanya kazi baada ya dakika 30 hadi 60 baada ya kumeza. Inaweza kudumu kwa masaa 4 hadi 6. ⚠️ Mambo ya kuzingatia: Hufanya kazi tu ukiwa na msisimko wa kimapenzi (sexual arousal). Usitumie zaidi ya kidonge kimoja kwa siku. Epuka kutumia pamoja na pombe nyingi au dawa za moyo kama nitr...